Ola Aina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Temitayo Olufisayo Olaoluwa Aina (alizaliwa 8 Oktoba 1996) ni mchezaji wa soka anayecheza kama beki wa pembeni au beki wa kulia katika klabu ya Serie A ya Torino, na timu ya taifa ya Nigeria.

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Aina ana ndugu yake, Jordan, ambaye kwa sasa anacheza katika Akademi ya Fulham.[1]

Mafanikio[hariri | hariri chanzo]

Klabu[hariri | hariri chanzo]

Chelsea Youth[2]

  • Ligi ya Premier ya U21 ya Barclays: 2013–14
  • FA Youth Cup: 2013–14 FA Youth Cup|2013–14, 2014–15
  • UEFA Youth League: 2014–15, 2015–16
  • Premier League Goal of the Month: Novemba 2020[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. A bit about: Jordan Aina (9 Machi 2021). Iliwekwa mnamo 9 Machi 2021.
  2. Ola Aina's Profile. Chelsea F.C. (23 Agosti 2016).
  3. Aina wins November Budweiser Goal of the Month award. Premier League (11 Desemba 2020).

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ola Aina kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.