Okatch Biggy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Elly Mathayo Okatch, anajulikana zaidi kama Okatch Biggy (19541997) alikuwa mwanamuziki wa benga wa Kenya. Albamu yake ya kwanza "Helena Wang'e Dongo, iliyotolewa mwaka wa 1992 ilimpa umaarufu. [1]

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Okatch (Okatch Biggy), alizaliwa mwaka wa 1954 huko Ujimbe, eneo la Dudi, Gem, Kaunti ya Siaya, Kenya. Akiwa na umri wa miaka 21, Okatch alijaribu kujihusisha na ndondi kama taaluma katika Klabu ya Railways huko Kisumu.[2] Aliitwa "Biggy" kwani alikuwa na sura kubwa.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Okatch Biggy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.