Ody Alfa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Odysseus Naphtali Alfa (alizaliwa 9 Machi 1999) ni mchezaji wa kandanda wa Nigeria ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Queens Park Rangers. Pia inasadikika Atakuwa wakala wa bure tarehe 30 Juni 2023.

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Alfa alijiunga na klabu ya Queens Park Rangers mwaka wa 2013 akiwa na umri wa miaka 14. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "U23s in profile: Ody Alfa". QPR FC (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-08-25. 

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ody Alfa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.