Odissi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Odissi ikichezwa

Odissi Pia inafahamika kama Orissi katika fasihi za kale. Ni uchezaji ngoma kubwa ya kale za kihindi ya asili ambayo ilitoka katika mahekalu ya Odisha (jimbo la pwani la mashariki la India).[1][2]

Odissi, katika historia yake, ilikuwa ikichezwa zaidi na wanawake,na kueleza hadithi ya dini na mawazo ya kiroho, hasa ya Vaishnavism kupitia nyimbo zilizoandikwa.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Odissi Encyclopædia Britannica (2013)
  2. "Guidelines for Sangeet Natak Akademi Ratna and Akademi Puraskar". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 14 Oktoba 2013. Iliwekwa mnamo 6 Novemba 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Sunil Kothari; Avinash Pasricha (1990). Odissi, Indian classical dance art. Marg Publications. ku. 4–6, 41. ISBN 978-81-85026-13-8., Quote: "There are other temples too in Odisha where the maharis used to dance. Besides the temple of Lord Jagannatha, maharis were employed in temples dedicated to Shiva and Shakti."
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Odissi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.