Obrad Bejatovic
Mandhari
Obrad Bejatovic (Alizaliwa Agosti 21, 2003) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Kanada anayecheza kama mlinda mlango katika timu ya Drina Višegrad katika ligi ya kwanza ya Republika Srpska.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Obrad Bejatovic TMU profile". TMU Bold.
- ↑ "Obrad Bejatovic 2022 L1O Stats". League1 Ontario. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-03-04. Iliwekwa mnamo 2024-11-19.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Obrad Bejatovic kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |