Oaxaca, Oaxaca

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Jiji la Oaxaca
Nchi Mexiko
Jimbo Oaxaca
Idadi ya wakazi
 - 258,008
Tovuti: www.municipiodeoaxaca.gob.mx
Mji wa Oaxaca, Oaxaca

Oaxaca (jina rasmi: Oaxaca de Juárez) ni mji mkuu na mji mkubwa katika jimbo la Oaxaca. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 258,008 wanaoishi katika mji huu. Eneo lake ni 258 km².

Mji ulianishwa na Wahispania mwaka 1522.

Location Oaxaca de Juarez.png
Mexico Flag Map.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Oaxaca, Oaxaca kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.