Nyuma ya Akili ya Mtu mweusi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nyuma ya Akili ya Mtu Mweusi (At the Back of the Black Man's Mind) ni kitabu cha Richard Edward Dennett kilichochapishwa mnamo 1906. Kinatoa maelezo mengi juu ya hadithi, utamaduni, na dini ya Bantu na Wayoruba.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nyuma ya Akili ya Mtu mweusi kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.