Nyomi Banxxx

.
Nyomi Banxxx (amezaliwa Amanda Dee; 14 Oktoba, 1972) ni mwigizaji wa zamani wa filamu za ponografia na mtangazaji wa vipindi vya redio kutoka nchini Marekani.[1] Banxxx aliingia katika tasnia ya filamu za kikubwa mnamo 2006 na kustaafu mwaka wa 2013.[1]
Jina lake la kisanii linatokana na wanamitindo maarufu Naomi Campbell na Tyra Banks.[2]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ 1.0 1.1 TBTentGroup (2013-01-11). HHV Exclusive: Nyomi Banxxx talks XXX career, moving on to radio, and more. Hip Hop Vibe. Iliwekwa mnamo 2014-01-22.
- ↑ Miss Lagsalot (2011-02-08). Nyomi Banxxx — "Honestly, we all have a little freak in us!". WHACK! Magazine. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-11-16. Iliwekwa mnamo 2014-02-27.