Nyagatare

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya Nyagatare
Nyagatare

Nyagatare ni mji ulioko mashariki mwa Rwanda.

Ni makao makuu ya wilaya ya Nyagatare.

Mwaka 2005 ulikuwa na wakazi 10,427.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]


Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Africa satellite plane.jpg Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nyagatare kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.