Nusujira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nusujira kuu (a); nusujira ndogo (b); fokasi (F1 na F2); kitovu (C)

Katika jiometria, jira kuu la duaradufu ni kipenyo chake kirefu zaidi: mstari unaounganisha kitovu, fokasi mbili, na nukta mbili za mbali zaidi katika mzingo. Nusujira kuu ni nusu ya jira kuu. Nusujira ndogo ni mstari unaoumba pembemraba kwa nusujira kuu, na ambao una kikomo kimoja katika kitovu cha sehemu pia. Kwa mfano wa duara, nusujira kuu na nusujira ndogo zina urefu sawa na nusukipenyo ya duara. 

Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nusujira kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.