Nusukipenyo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Duara na nusukipenyo (rediasi)

Nusukipenyo au rediasi ni mstari unaonyoka kati kitovu cha duara hadi mzingo wake. Ni nusu ya urefu wa kipenyo.

Uhusiano kati ya mzingo na rediasi ni


Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]