Nusuduara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kipenyo hugawa duara kuwa nusuduara mbili

Nusuduara ni nusu moja ya duara kamili. Mzingo wake una pembe ya nyuzi 180°.