Nenda kwa yaliyomo

Nusrat Hanje

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nursat Shabaan Hanje (14 Novemba 1989) ni mwanasiasa wa Tanzania na mwanachama wa chama cha siasa cha CHADEMA. Alichaguliwa kama mwanachama wa viti maalum kama mwakilishi wa wanawake na anahudumu kama mbunge tangu 2020.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Hon. Nusrat Shaaban Hanje". Parliament of Tanzania.
  2. "Mdee aivimbia CHADEMA: "Hatuondoki, tumekuzwa Chadema tutapambana hadi mwisho"".