Nenda kwa yaliyomo

Nusa Penida

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kisiwa cha Nusa Penida

Nusa Penida ni kisiwa cha Indonesia. Kiko upande wa kusini-mashariki wa kisiwa cha Bali. Eneo la kisiwa ni 202.6 km². Mwaka wa 2010 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 45,178. Watu wakaao kisiwani kwa Nusa Penida huongea hasa Kibali.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.