Nurcan Baysal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nurcan Baysal
UraiaTurkey

Nurcan Baysal (amezaliwa 1975) ni mwandishi wa habari wa Kikurdi kutoka Uturuki, makazi yake ni Diyarbakır . [1] Mnamo mwaka wa 2018 alitajwa kuwa Mshindi wa Tuzo ya Kimataifa ya Watetezi wa Haki za Kibinadamu kwa watu walio hatarini kwa kua mstari wa mbele, NGO ya haki za binadamu ya Ireland.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nurcan Baysal kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. "Nurcan Baysal". Front Line Defenders (kwa Kiingereza). 2018-05-01. Iliwekwa mnamo 2021-04-22.