Nuktambili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Colon

Nuktambili au nukta pacha ni alama ya kisarufi. Ina nukta mbili zinazokaa moja juu ya nyingine (:). Inatumiwa kuashiria yale yanayofuata kama ni mfano, orodha n.k.