Nuktambili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Nukta pacha)
Jump to navigation Jump to search
Colon

Nuktambili au nukta pachaa ni alama ya uakifishaji. Ina nukta mbili zinazokaa moja juu ya nyingine (:). Inatumiwa katika sentensi kudokeza ya kwamba yale yanayofuata ni maneno kamili ya msemaji au nukuu. Menginevyo kuashiria yale yanayofuata kama ni mfano, orodha n.k.