Nosimo Balindlela

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nosimo Balindlela, zamani wa African National Congress, anayeonekana hapa akiwa amevalia nembo ya Congress of the People (COPE).
Nosimo Balindlela, zamani wa African National Congress, anayeonekana hapa akiwa amevalia nembo ya Congress of the People (COPE).

Nosimo Zisiwe Beauty Balindlela (alizaliwa 28 Novemba 1949 huko Hermanus, mkoa wa Cape) [1] ni mwanasiasa wa Afrika Kusini ambaye aliwahi kuwa Waziri mkuu wa Rasi ya mashariki kuanzia tarehe 26 Aprili 2004 hadi 1 Agosti 2008.[2]

  1. [1]
  2. http://www.info.gov.za/gol/gcis_profile.jsp?id=1072