Nenda kwa yaliyomo

Noor-ol-Hoda Mangeneh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Noor-ol-Hoda Mangeneh (1902 - 1986) alikuwa msomi na mmoja wa watu waanzilishi wa harakati za haki za wanawake nchini Iran. Alizaliwa Tehran. Alikuwa mwanachama wa Jam'iyat-e Nesvan-e Vatankhah ("Mashirika ya Wanawake Wazalendo ya Iran") na alichapisha jarida la wanawake liitwalo Bibi.[1]

  1. Sanasarian, Eliz; Ḫumainī, Rūḥallāh Mūsawī (1982). The women's rights movement in Iran: mutiny, appeasement, and repression from 1900 to Khomeini. Praeger special studies. New York: Praeger. ISBN 978-0-03-059632-2.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Noor-ol-Hoda Mangeneh kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.