Nenda kwa yaliyomo

Nonso Anozie

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Anozie katika onyesho la kwanza la Pan mnamo 2015
Anozie katika onyesho la kwanza la Pan mnamo 2015

Nonso Anozie (alizaliwa 17 Novemba 1978) ni muigizaji wa Uingereza aliyefanya kazi ya filamu na televisheni.

Alipata umaarufu kwa filamu zifuatazo RocknRolla, Sergeant Dap in Ender's Game, Abraham Kenyatta in Zoo, Captain of the Guards in Cinderella na Xaro Xhoan Daxos kwenyeHBO televisheni Game of Thrones.

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Anozie alizaliwa mjini London, England, lakini asili yake ni Igbo. [1][2][3][4] Alihitimu katika shule ya Central School of Speech and Drama mnamo mwaka 2002, [5] na pia mwaka huo huo alicheza katika filamu iitwayo William Shakespeare's King Lear, na akashinda tuzo ya Ian Charleson Award. Mnamo mwaka 2004alishiriki katika Othello.[6]

Anozie aliajiriwa mnamo mwaka 2006 kwa ajili ya kutoa sauti ya dubu silaha katika filamu ya Iorek Byrnison katika film adaptation of Philip Pullman's Northern Lights.[7] Anozie alibadilishwa akawekwa Ian McKellen kwa miezi miwili kabla ya filamu kutoka. [8] Muongozaji wa filamu, Chris Weitz, aliiambia Empire: "ilikua ni maamuzi ya studio ,ili uelewe kuwa huna haja ya kumlalamikia Ian McKellen kwa kitu chochote. Lakini kubadilishwa kwa Nonso ilikua ni moja ya maumivu ya kazi katika filamu hii. Nataka kusema kua Nonso ni mojawapo wa kijana muigizaji mzuri sana nchini Uingereza, na nimefanya kazi hapa kwa mda sahivi na sasa hivi atakuepo katika filamu ya Mike Leigh [film] Lakini kuondoka kwa Nonso ilikua kama giza kwangu, kwa sababu ninaipenda sana kazi yake. "[9].

  1. Obenson, Tambay A. (10 Mei 2012). "British-Nigerian Actor Nonso Anoze ("Game of Thrones") Talks To S&A About Stage, TV & Film Career + More..." Shadow and Act. Indiewire. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 3 Mei 2015. Iliwekwa mnamo 6 Novemba 2013. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Jury, Louise (29 Novemba 2013). "Actor Nonso Anozie: 'I'm playing the original superhero in blockbuster series The Bible'". London Evening Standard. Iliwekwa mnamo 21 Machi 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Nonso Anozie on Twitter", Twitter. (en) 
  4. "Nonso Anozie". IMDb. Iliwekwa mnamo 2018-04-04.
  5. "Nonso Anozie – Biography". IMDb. Iliwekwa mnamo 9 Julai 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. Obenson, Tembay A. (10 Mei 2012). "British-Nigerian Actor Nonso Anozie ("Game Of Thrones") Talks To S&A About Stage, TV & Film Career + More…". Indie Wire. Iliwekwa mnamo 23 Oktoba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. "The Real Iorek". BridgeToTheStars.net. Iliwekwa mnamo 10 Novemba 2007.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  8. "Ian McKellen Voicing Iorek". BridgeToTheStars.net. Iliwekwa mnamo 10 Novemba 2007.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  9. "Kristin Scott Thomas in Golden Compass". Empire. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-08-28. Iliwekwa mnamo 10 Novemba 2007.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)