Nonso Anozie

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Anozie katika onyesho la kwanza la Pan mnamo 2015
Anozie katika onyesho la kwanza la Pan mnamo 2015

Nonso Anozie (alizaliwa 17 Novemba 1978) ni muigizaji wa Uingereza aliyefanya kazi ya filamu na televisheni.

Alipata umaarufu kwa filamu zifuatazo RocknRolla, Sergeant Dap in Ender's Game, Abraham Kenyatta in Zoo, Captain of the Guards in Cinderella na Xaro Xhoan Daxos kwenyeHBO televisheni Game of Thrones.

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Anozie alizaliwa mjini London, England, lakini asili yake ni Igbo. [1][2][3][4] Alihitimu katika shule ya Central School of Speech and Drama mnamo mwaka 2002, [5] na pia mwaka huo huo alicheza katika filamu iitwayo William Shakespeare's King Lear, na akashinda tuzo ya Ian Charleson Award. Mnamo mwaka 2004alishiriki katika Othello.[6]

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Anozie aliajiriwa mnamo mwaka 2006 kwa ajili ya kutoa sauti ya dubu silaha katika filamu ya Iorek Byrnison katika film adaptation of Philip Pullman's Northern Lights.[7] Anozie alibadilishwa akawekwa Ian McKellen kwa miezi miwili kabla ya filamu kutoka. [8] Muongozaji wa filamu, Chris Weitz, aliiambia Empire: "ilikua ni maamuzi ya studio ,ili uelewe kuwa huna haja ya kumlalamikia Ian McKellen kwa kitu chochote. Lakini kubadilishwa kwa Nonso ilikua ni moja ya maumivu ya kazi katika filamu hii. Nataka kusema kua Nonso ni mojawapo wa kijana muigizaji mzuri sana nchini Uingereza, na nimefanya kazi hapa kwa mda sahivi na sasa hivi atakuepo katika filamu ya Mike Leigh [film] Lakini kuondoka kwa Nonso ilikua kama giza kwangu, kwa sababu ninaipenda sana kazi yake. "[9].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Obenson, Tambay A. (10 May 2012). British-Nigerian Actor Nonso Anoze ("Game of Thrones") Talks To S&A About Stage, TV & Film Career + More.... Shadow and Act. Indiewire. Jalada kutoka ya awali juu ya 2015-05-03. Iliwekwa mnamo 2020-10-31.
  2. Jury, Louise (29 November 2013). Actor Nonso Anozie: 'I'm playing the original superhero in blockbuster series The Bible'. London Evening Standard. Iliwekwa mnamo 21 March 2015.
  3. "Nonso Anozie on Twitter", Twitter. (en) 
  4. Nonso Anozie.
  5. Nonso Anozie – Biography. IMDb. Iliwekwa mnamo 9 July 2016.
  6. Obenson, Tembay A. (10 May 2012). British-Nigerian Actor Nonso Anozie ("Game Of Thrones") Talks To S&A About Stage, TV & Film Career + More…. Iliwekwa mnamo 23 October 2017.
  7. The Real Iorek. BridgeToTheStars.net. Iliwekwa mnamo 10 November 2007.
  8. Ian McKellen Voicing Iorek. BridgeToTheStars.net. Iliwekwa mnamo 10 November 2007.
  9. Kristin Scott Thomas in Golden Compass. Empire. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-08-28. Iliwekwa mnamo 10 November 2007.