Nne
Mandhari
Nne (pia: aruba kutoka Kiarabu) ni namba ambayo inafuata tatu na kutangulia tano. Kwa kawaida inaandikwa 4 lakini IV kwa namba za Kiroma na ٤ kwa zile za Kiarabu.
Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 2.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Wells, D. The Penguin Dictionary of Curious and Interesting Numbers London: Penguin Group (1987): 70–71
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Marijn.Org on Why is everything four?
- A few thoughts on the number four Archived 3 Machi 2018 at the Wayback Machine., by Penelope Merritt at samuel-beckett.net
- The Number 4 Archived 22 Machi 2015 at the Wayback Machine.
- The Positive Integer 4
- Prime curiosities: 4
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nne kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |