Nnaemeka Leonard

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Frederick Nnaemeka Leonard (alizaliwa 1 Mei 1980) ni mwigizaji wa Nigeria ambaye alishinda tuzo ya mwigizaji bora wa filamu katika  tuzo za Golden Icons Academy Movie mwaka 2014[1][2] na mwaka 2016 alishinda tuzo za City People Movie kama mwigizaji bora wa mwaka  katika tuzo za City People Entertainment.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Latest Nigerian Entertainment News & Updates". Pulse Nigeria (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-12. 
  2. yaasomuah (2014-10-30). "Glitz & Glam: Golden Icons Academy Movie Awards (GIAMA)". Yaa Somuah (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2023-03-12. 
  3. Adedayo Showemimo (2016-07-26). "Full List Of Winners at 2016 City People Entertainment Awards". Nigerian Entertainment Today (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2023-03-12.