Njiapanda
Mandhari
(Elekezwa kutoka Njia Panda)
Njiapanda (pia: njia panda) ni mahali ambako njia mbili zinakutana au mahali ambako njia inagawiwa ikiendelea pande mbili tofauti. Njiapanda huwa mara nyingi mahali ambako watu walijenga makazi na hivyo kuunda vijiji na miji. Vilevile njia zinalengwa mara nyingi kuelekea penye mji hivyo njiapanda zinatokea.
Njiapanda au Njia Panda ni jina la vijiji vingi nchini Tanzania, pamoja na
- Njia Panda (Moshi), kata ya Wilaya ya Moshi Vijijini katika Mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania