Nikol Pashinyan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Besuch des Ministerpräsidenten von Armenien, Nikol Pashinyan, im Kölner Rathaus-2162.jpg

Nikol Vovayi Pashinyan (kwa Kiarmenia: Նիկոլ Վովայի Փաշինյան; amezaliwa 1 Juni 1975) ni mwanasiasa wa Armenia anayehudumu kama Waziri Mkuu wa Armenia tangu tarehe 8 Mei 2018.

Crystal personal.svg Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nikol Pashinyan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.