Nenda kwa yaliyomo

Nikkita Persaud

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nikkita Persaud alizaliwa Aprili 8, 1990 ni mchezaji wa mpira wa miguu aliyezaliwa Kanada mwenye asili ya Guyana, ambaye anacheza kama beki. Amewahi kuwa mchezaji na nahodha wa timu ya taifa ya wanawake ya Guyana.[1][2]


  1. "Nikkita Persaud | #12 | F | Rhode Island". Rhode Island. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-05-15. Iliwekwa mnamo 31 Machi 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Nikkita Persaud - Soccer". The Citadel Athletics. Iliwekwa mnamo 31 Machi 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nikkita Persaud kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.