Nenda kwa yaliyomo

Niger (maana)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Niger ni neno linaloweza kumaanisha:

  • Niger nchi ya Afrika ya Magharibi
  • Niger (mto) ni mto mkuwa wa Afrika ya magharibi
  • Niger (Nigeria) ni dola mojawapo wa Shirikisho la Jamhuri ya Nigeria
  • Niger (meli) ilikuwa jina la meli za kivita za Uingereza
  • "niger" ni neno la lugha ya Kilatini linalomaanisha "nyeusi"
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.