Nenda kwa yaliyomo

Nicolás Tagliafico

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tagliafico Argentina akichezea mnamo 2018

Nicolás Alejandro Tagliafico (alizaliwa 31 Agosti 1992)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Argentina,ambae anacheza kama beki wa kushoto wa klabu ya Olympique Lyonnais inayoshiriki Ligi Kuu ya Ufaransa na timu ya taifa ya Argentina.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://web.archive.org/web/20190611000407/https://www.fifadata.com/documents/FWC/2018/pdf/FWC_2018_SQUADLISTS.PDF
  2. Benjamin Strack-Zimmermann. "Nicolás Tagliafico (Player)". www.national-football-teams.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-06-16.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nicolás Tagliafico kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.