Nickson Akaba
Mandhari
Nickson Abaka ni bondia wa Kenya ambaye alifuzu kushiriki katika Olimpiki ya mwaka wa 2008 katika uzito wa "Welterweight" katika mchuano wa kufuzu wa Olimpiki wa Kiafrika wa 2 wa AIBA mwaka wa 2008.
Alimcharaza mpinzani wake Mehdi Kalsi katika nusu fainali ya kupambanua, lakini baadaye alibanduliwa nje na Mujandjae Kasuto katika fainali ambayo haikuwa na umaarufu na maana yoyote.
Hata hivyo, alikosa kushiriki katika Olimpiki kutokana na jeraha alilopata.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu bondia wa Kenya bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |