Nick Boraine
Nick Boraine | |||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|
Amezaliwa | Nick Boraine 14 November 1971 Afrika Kusini | ||||||
Kazi yake | Mwigizaji | ||||||
|
Nick Boraine (alizaliwa 14 Novemba 1971) ni mwigizaji wa nchini Afrika Kusini.
Maisha na elimu
[hariri | hariri chanzo]Boraine alihitimu kutoka Chuo Kikuu cha Witwatersrand mnamo mwaka 1994 na Shahada ya Heshima katika Sanaa ya Kuigiza. Mnamo Machi 2011, alijiunga na Sanaa ya Kitaifa kama Mkurugenzi Msaidizi wa Sanaa. Baba yake, Dk Alex Boraine, ni mwanasiasa wa zamani wa Afrika Kusini na Naibu Mwenyekiti wa zamani wa Tume ya Ukweli na Maridhiano ya Afrika Kusini (TRC).
Boraine alihitimu katika Chuo Kikuu cha Witwatersrand mnamo mwaka 1994 na stashahada ya heshima katika sanaa ya uigizaji. [1] Manmo Machi mwaka 2011, Boraine alijiunga na Sanaa ya Kimataifa kama Mkurugenzi Msaidizi katika upande wa sanaa. Baba yake, Dk Alex Boraine, ni mwanasiasa wa zamani wa nchini Afrika Kusini na pia alikuwa Naibu Mwenyekiti wa zamani wa Tume ya Ukweli na Maridhiano ya Afrika Kusini (TRC). [2]
Filamu
[hariri | hariri chanzo]Filamu
[hariri | hariri chanzo]- Sweepers (1998) - Mitch
- I Dreamed of Africa (2000) - Duncan Maitland
- Operation Delta Force 5: Random Fire (2000) - Gary
- Witness to a Kill (2001) - Karl Wolf
- Slash (2002) - Billy Bob
- Promised Land (2002) - George Neethling
- Glory Glory (2002) - Frank
- Dead End
- In My Country (2004) - Jack Marlon
- Critical Assignment (2004) - William Le Trois
- Berserker (2004) - Clifford
- Cape of Good Hope (2004) - Stephen van Heern
- The Breed (2006) - Luke
- District 9 (2009) - Craig Weldon
- Jozi (2010) - Carl
- The Bang Bang Club (2010) - Colin
- Paradise Stop (2011) - John Sylvester
- The Salvation (2014) - Man With Cigar
- Assignment (2015) - Boris the merciful
- Grimsby (2016) - Joris Smit
- Detour (2016) - Lecturer
- Money Monster (2016) - British Reporter
- Mandela's Gun (2016) - Cecil Williams
- Running for Grace (2018) - Danielson
- Bloodline (2018) - Lou
- Know Your Enemy (2019) - Steve
Runinga
[hariri | hariri chanzo]- Hillside
- Crossroads (2006, TV Movie, SAFTA Award Best Supporting Actor) - Jimmy Black
- The Mating Game (2010) - Warren
- Binnelanders (2010) - Oliver Knight
- Homeland (2014) - Alan Hensleigh
- Black Sails (2015) - Peter Ashe
- Chicago Fire (2017) - Dennis Mack
- Designated Survivor (2019) - Wouter Momberg
Video Games
[hariri | hariri chanzo]- Call of Duty: Black Ops 4 (2018) - Stanton Shaw
- Call of Duty: Modern Warfare (2019) - Norris
Ukumbi wa maigizo
[hariri | hariri chanzo]- Birdy - Vita Award Best Actor
- Popcorn - Vita Award Best Actor
- The Rocky Horror Show - Vita Award Best Musical Actor
- Shopping and F*cking - Vita Award Best Supporting Actor
- SIC
- Truth in Translation
- Faustus
- Metamorphosis
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "South African Cast & Musicians - Truth in Translation". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-09-15. Iliwekwa mnamo 2021-10-09.
- ↑ "Durban Festival: 'Snake' Hopes to Show New 'Truth'".
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nick Boraine kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |