Nicholas Hlobo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nicholas Hlobo, ni msanii wa nhini Afrika Kusini aliyeko Johannesburg. Alizaliwa mnamo mwaka 1975 huko Cape Town . Alipata Shahada ya Kwanza ya Teknolojia kutoka mwaka 2002. [1] Pia hufanya kazi ya uchongaji sanamu.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nicholas Hlobo". Tate. Iliwekwa mnamo 16 March 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nicholas Hlobo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.