Nenda kwa yaliyomo

Nicholas Chia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nicholas Gerald Chia Yeck Joo (8 Aprili 193817 Desemba 2024) alikuwa Askofu Mkuu wa tatu wa Kanisa Katoliki nchini Singapore na wa kwanza aliyezaliwa Singapore kushika nafasi hiyo.

Alistaafu rasmi kama Askofu Mkuu wa Singapore mnamo 18 Mei 2013, na nafasi yake ilichukuliwa na Askofu Mkuu William Goh.

Alipata elimu yake katika Shule za Msingi na Sekondari za Montfort. [1]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nicholas Chia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.