Nenda kwa yaliyomo

Ni Noma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Ni noma)

Ni Noma ni filamu ya vichekesho ya mwaka 2016 iliyochezwa na Elizabeth Michael na waigizaji wengine kama Kulwa Kikumbe na Isarito Mwakalikamo.[1][2][3]

Muhtasari

[hariri | hariri chanzo]

Angela ni mwanamke mrembo anayetumia uzuri wake kuishi maisha ya kifahari kwa kuwadanganya wanaume. Siku moja uchumi wake ulidondoka na akaamua kucheza mchezo wa kudangaganya Zaidi ili aweze kupata kazi katika kampuni kwa kumtongoza bosi. Kutokana na yeye kukosa ujuzi wa kufanya kazi katika kampuni hiyo, alimtegemea sana mlinzi kutoka kwenye shirika la ulinzi la intelligent aitwaye Steve.

Wahusika

[hariri | hariri chanzo]
  • Elizabeth Michael kama Angela
  • Isarito Mwakalikamo kama Steven
  • Kulwa Kikumba kama Daniel

Uzalishaji

[hariri | hariri chanzo]

Ni Noma ilirekodiwa Dar Es Salaam, Tanzania, na kutayarishwa na Elizabeth Michael na ilizalishwa na Proin Promotions Tanzania Ltd. Principal photography iliachiliwa mwaka 2015 wakati inarekodiwa. [4]

Uhamasishaji

[hariri | hariri chanzo]

Filamu hiyo ilitangazwa kupitia mitandao ya kijamii. Mwezi Julai kabla ya kutolewa kwa filamu, Elizabeth Michael (Lulu), Mtayarishaji wa filamu hiyo, alifanya ziara ya vyombo vya habari ili kuitangaza. Alifanya ziara katika Bongo5.com, mojawapo ya Tovuti kubwa zaidi za Kitanzania.[5] Pia alifanya ziara na Mkurugenzi Karabani katika Clouds Tv kwa ajili ya kuitangaza Filamu hiyo. Alifanya pia ziara katika redio ya BBC Swahili.[6]

  1. "Tanzania: Elizabeth Michael 'Lulu' Set To Drop New Film Tomorrow + Shares Other Interesting Details About It's Release - (Video) - Celeb Africa Network". web.archive.org. 2016-09-16. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-09-16. Iliwekwa mnamo 2024-05-04. {{cite web}}: Cite has empty unknown parameter: |dead-url= (help)
  2. http://www.bongo5.com/lulu-ajipanga-kuja-na-filamu-ya-comedy-picha-06-2015/
  3. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-02-22. Iliwekwa mnamo 2020-10-10.
  4. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-05-18. Iliwekwa mnamo 2020-10-10.
  5. "Lulu aeleza mapinduzi yanayoletwa na filamu yake mpya 'Ni Noma' inayotoka Ijumaa hii (Video) - Bongo5.com". 14 Julai 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. "Filamu ya kwanza ya Kitanzania kuuzwa kidigitali - BBC Swahili". 21 Julai 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ni Noma kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.