Nenda kwa yaliyomo

Ni Noma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ni Noma ni filamu ya vichekesho ya mwaka 2016 iliyochezwa na Elizabeth Michael na waigizaji wengine kama Kulwa Kikumbe na Isarito Mwakalikamo.[1][2][3]

Muhtasari

[hariri | hariri chanzo]

Angela ni mwanamke mrembo anayetumia uzuri wake kuishi maisha ya kifahari kwa kuwadanganya wanaume. Siku moja uchumi wake ulidondoka na akaamua kucheza mchezo wa kudangaganya Zaidi ili aweze kupata kazi katika kampuni kwa kumtongoza bosi. Kutokana na yeye kukosa ujuzi wa kufanya kazi katika kampuni hiyo, alimtegemea sana mlinzi kutoka kwenye shirika la ulinzi la intelligent aitwaye Steve.

Wahusika

[hariri | hariri chanzo]
  • Elizabeth Michael kama Angela
  • Isarito Mwakalikamo kama Steven
  • Kulwa Kikumba kama Daniel

Uzalishaji

[hariri | hariri chanzo]

Ni Noma ilirekodiwa Dar Es Salaam, Tanzania, na kutayarishwa na Elizabeth Michael na ilizalishwa na Proin Promotions Tanzania Ltd. Principal photography iliachiliwa mwaka 2015 wakati inarekodiwa. [4]

  1. "Tanzania: Elizabeth Michael 'Lulu' Set To Drop New Film Tomorrow + Shares Other Interesting Details About It's Release - (Video) - Celeb Africa Network". web.archive.org. 2016-09-16. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-09-16. Iliwekwa mnamo 2024-05-04. {{cite web}}: Cite has empty unknown parameter: |dead-url= (help)
  2. http://www.bongo5.com/lulu-ajipanga-kuja-na-filamu-ya-comedy-picha-06-2015/
  3. http://www.tanzaniatoday.co.tz/news/ni-nomaaahuyu-demu-ni-fake
  4. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-05-18. Iliwekwa mnamo 2020-10-10.
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ni Noma kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.