Nguvu (kipaji)
Mandhari
Nguvu kama kipaji cha Roho Mtakatifu ni utayari wa Mkristo kupewa na Roho Mtakatifu nguvu katika kupambana na magumu au kuyavumilia.
Nguvu ni kipaji cha Roho Mtakatifu kinachotutia moyo wa kushika sana amri za Mungu na mambo ya utumishi wake tusiogope watu wala matukano wala mateso wala kifo.
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nguvu (kipaji) kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |