Nenda kwa yaliyomo

Ngozi Opara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ngozi Opara (alizaliwa 11 Novemba, 1971) ni mchezaji wa mpira wa mikono wa wanawake kutoka nchini Nigeria. Alishiriki katika mashindano ya wanawake katika michezo ya Olimpiki ya majira ya joto ya mwaka 1992.[1]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ngozi Opara kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.