Ngāneko Minhinnick

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ngāneko Minhinnick (15 Agosti 1939 - 15 Juni 2017) alikuwa kiongozi wa Maori New Zealand.[1][2]

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Alizaliwa tarehe 15 Agosti 1939 huko Ngāti Te Ata, New Zealand. Minhinnick alilelewa katika kijiji cha Waiuku na alikuwa mmoja wa watoto 15. Tangu akiwa na umri mdogo alichaguliwa kama kiongozi wa baadaye, akiwa na umri wa miaka 11 alikuwa akihudhuria vikao vya Mahakama kuhusu Ardhi ya Māori. Alipokuwa na umri wa miaka 16 aliolewa na Eden Minhinick na alipofikisha umri wa miaka 19 alichaguliwa kuwa kiongozi na msimamizi wa ardhi ya Māori.[3].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Death search: registration number 2017/15837. Department of Internal Affairs.
  2. Polley, Natalie. "Dame Nganeko's proudest feat is her family", Stuff.co.nz, 2 June 2013. 
  3. Boynton, John. "Tangi for pioneering Ngati Te Ata leader being held at Tahuna Marae in Waiuku", Waikato Times, 19 June 2017. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ngāneko Minhinnick kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.