Newcastle United
Jump to navigation
Jump to search
Newcastle United ni klabu ya soka ya Uingereza iliyoko Newcastle upon Tyne, ambayo inacheza katika Ligi Kuu ya Uingereza.
Newcastle United ilianzishwa mwaka 1892 kutokana na kuunganishwa kwa Newcastle East End na Newcastle West End.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Newcastle United kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |