New Georgia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Visiwa vya Solomon.

Georgia Mpya au New Georgia ni kisiwa kikubwa cha Mkoa wa Magharibi mwa Visiwa vya Solomon. Ni Kundi Jipya la Georgia, Kisiwa hiki cha Georgia kimekusanya visiwa vingine vikubwa kabisa katika Mkoa. Kuna km 72 na urefu wa maili 45, kuelekea katika sehemu ya Kusini mwa mpaka wa New Georgia Sound hadi kufikia katika visiwa vingie kama vile, Kolombangara imeenda mpaka kufikia katika Ghuba ya Kula hadi magharibi, Vangunu ipo mashariki, na Rendova na kusini, na kufika Blanche Channel.

Kisiwa kina mapolomoko mengi na kuna misitu mikubwa kabisa.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Lugha[hariri | hariri chanzo]

Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu New Georgia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.