Nevado del Ruiz
Jump to navigation
Jump to search
Nevado del Ruiz ni mlima wa Andes katika nchi ya Kolombia (Amerika Kusini).

Nevado del Ruiz katika Manizales, 2006
Urefu wake ni mita 5,321 juu ya usawa wa bahari.