Nevado del Huila

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Nevado del Huila ni mlima wa Andes katika nchi ya Kolombia (Amerika Kusini).

Urefu wake ni mita 5,365 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]