Ndoto Hub

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ndoto Hub ni taasisi yenye makao makuu Arusha lakini ofisi zake nyingine zipo Dar es Salaam.

Ndoto Hub ni sehemu inayolea wasichana wenye mawazo ya biashara na ujasiriamali. Ndoto hub huwaleta pamoja wasichana na kuwapa mafunzo ya ujasiriamali, namna ya kukuza biashara zao kidigitali, kuwaunganisha na masoko, na kuwasaidia katika maendeleo binafsi[1].

Miongoni mwa washauri wa wasichana wanaokuwa katika uangalizi wa Ndoto Hub ni Faraja Nyalandu, Fatema Dewji, Mercy Kitomari na Monica Joseph.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]