Nayaah (mwimbaji)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nana Yaa, anayejulikana zaidi kwa jina lake la kisanii Nayaah, ni mwimbaji wa Injili raia wa Ghana na mtunzi wa nyimbo anayeishi Luton, Uingereza.

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Alianza kuimba akiwa na umri wa miaka 10 huko Accra, Ghana na amezuru Ghana na Nigeria sana. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Graft Ambassadors. Jalada kutoka ya awali juu ya 2015-09-24. Iliwekwa mnamo 2022-05-15.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nayaah (mwimbaji) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.