Nathaniel Nakasa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nathaniel "Nat" Ndazana Nakasa (12 Mei 1937 - 14 Julai 1965) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini. Alifanya kazi kwa gazeti la Drum. Aliruhusiwa kutoka nchi yake hata wakati wa sera za ubaguzi wa rangi ili asome Marekani. Kule ng'ambo akawa amepatwa na ugonjwa wa majonzi akajiua.

Maandishi yake[hariri | hariri chanzo]

  • The World of Nat Nakasa (1975, ilitolewa baada ya kifo chake tu)

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nathaniel Nakasa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.