Nathalie Makoma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nathalie Makoma, Mwimbaji ambaye haogopi jukwaa

Nathalie Makoma (amezaliwa Libreville, Gabon, 24 Februari 1982) ni mwimbaji tena mtunzi wa nyimbo za Gospel, Pop, R&B hollandaise, kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Alianza kazi yake ya uimbaji katika kundi la Makoma, kundi la muziki wa Injili, pamoja na ndugu zake Duma, Tutala, Martin, Annie, Penganie na shemeji yake Patrick Badine.

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nathalie Makoma kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.