Natalia Dubova
Mandhari
Natalia Ilinichna Dubova (Kirusi: Наталья Ильинична Дубова; amezaliwa 31 Machi 1948) ni mkufunzi wa mchezo wa densi kwenye barafu wa Urusi na mchezaji wa zamani wa mashindano ya ya densi ya kwenye barafu.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Выйти из тени | : Старейшая школа «Сокольники» решила начать зановоМосковский фигурист" (kwa Kirusi). Iliwekwa mnamo 2023-07-30.
- ↑ "Современный музей спорта". www.smsport.ru. Iliwekwa mnamo 2023-07-30.