Naomi Layzell

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Layzell akiwa na Bristol CIty mnamo 2001 (albamu)

Naomi Layzell (alizaliwa 29 Februari 2004[1]) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza ambae anacheza kama beki wa kati wa klabu ya Bristol City inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) [2] na timu ya taifa ya wanawake ya Uingereza kwa walio na umri chini ya miaka 23. [3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Naomi Layzell Stats, Goals, Records, Assists, Cups and more". FBref.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-26. 
  2. https://www.bcfc.co.uk/teams/city-women-squad/25-naomi-layzell/
  3. "Naomi Layzell - Flashscore.co.uk". www.flashscore.co.uk (kwa en-GB). Iliwekwa mnamo 2024-04-26. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Naomi Layzell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.