Nanning
Jump to navigation
Jump to search
Nanning | |||
|
|||
Nchi | China | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Guangxi | ||
Idadi ya wakazi | |||
- | 2,450,000 | ||
Tovuti: www.nanning.gov.cn |
Nanning (kwa Kichina: 南宁) ni mji wa China. Ndio mji mkuu wa jimbo la Guangxi.
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, kuna wakazi wapatao milioni 6.48 wanaoishi katika mji huu.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya China bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Nanning kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |