Nanchang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Nanchang
Bendera ya Nanchang
Bendera
Nchi China
Jimbo Jiangxi
Idadi ya wakazi
 - 3,790,000
Tovuti: www.nc.jx.cn

Nanchang (南昌) ndiyo mji mkuu katika jimbo la Jiangxi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao milioni 5 wanaoishi katika mji huu.