Nenda kwa yaliyomo

Namataba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Namataba katika ramani ya Uganda kwa majiranukta 00°23′3.0″N 32°50′42.0″E / 0.384167°N 32.845000°E / 0.384167; 32.845000

Namataba ni mji katika wilaya ya Mukono, Mkoa wa Kati huko nchini Uganda. Ni kituo cha mji chini ya utawala wa wilaya ya Mukono.[1]